info@parokiaboko.or.tz

(+255) 754 348 651

Ratiba ya Ibada

Masifu ya Asubuhi
Jumatatu – Ijumaa: Saa 11:45- 12:30 asubuhi

Jumapili

Parokiani

  • Misa ya 1: Saa 12:00 – 2:00 asubuhi
  • Misa ya 2: Saa 2:05 – 4:00 asubuhi
  • Misa ya 3: Saa 4:05 – 6:00 asubuhi
  • Misa ya 4 (Kiingereza): Saa 10:00 jioni

Vigangoni na Parokia Teule

  • Mt. Antony wa Padua: Misa 3
  • Mt. Yohane Mbatizaji: Misa 2
  • Vigango vya Basihaya na Boko Magereza: Misa 1 moja kila Jumapili

Misa za katikati ya wiki

Misa ya asubuhi: 12:30 – 1:00 asubuhi
Misa ya Jioni: saa 11:00- 11:30 jioni