Parokia ya Mwenyeheri Isidori Bakanja – Boko ilianzishwa tarehe 15 Agosti 2003 kama tawi la Parokia ya Damu Takatifu ya Yesu – Tegeta. Ilianzishwa na waumini takribani 600, na kwa sasa ina waumini zaidi ya 3,500.
Ilipandishwa hadhi na kuzinduliwa rasmi na Baba Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu wa Dar es Salaam.
Viongozi wa Parokia
Paroko wa Sasa na Wasaidizi
- Paroko: Padre Emmanuel Joseph Makusaro
- wasaidizi: Padre Severine Hyera, Padre Everist Lefiyo
Maparoko wa Zamani
- Padre Ernest Gizzi (2003 – 2008)
- Padre Adolph Majeta (2008 – 2012)
- Padre Dismas Mfungomali (2012 – 2017)
- Padre Emmanuel Joseph Makusaro (2017 – Sasa)
Maparoko Wasaidizi wa Zamani
- Padre Angelo Kaizirege (2003 – 2005)
- Padre Dennis Mlimila (2003 – 2011)
- Padre Dominick Mwaluko (2012 – 2013)
- Padre Nicholaus Ngowi (2013 – 2017)
- Padre Sosthenes Ndendya (2016 – 2018)
- Padre Magnus Tegete (2018 – 2020)
- Padre Thomas Temba Kilewona (2019 – 2021)
- Padre Richard Leon Orota (2021 – 2023, Marehemu)
- Padre Benjamin Mwinuka (2021)
- Padre Severine Hyera (2022 – Sasa)
Bruda
- Bruda Francis Maganga
Kamati Tendaji
- Mwenyekiti: Eladius Silayo
- Makamu Mwenyekiti:
- Katibu:
- Katibu msaidizi:
- Mweka hazina:
Mipaka ya Parokia
Parokia ya Boko inapakana na:
- Kusini: Mt. Benedicto wa Abate – Wazo Hill
- Kaskazini: Mt. Yohane Paulo II – Ununio
- Magharibi: Bikira Maria wa Mlima Karmeli – Bunju
- Mashariki: Mt. Raphael Malaika Mkuu – Mbweni



