info@parokiaboko.or.tz

(+255) 754 348 651

Huduma za Kichungaji

Ratiba ya Misa

Parokiani

  • Misa ya 1: Saa 12:00 – 2:00 asubuhi
  • Misa ya 2: Saa 2:05 – 4:00 asubuhi
  • Misa ya 3: Saa 4:05 – 6:00 asubuhi
  • Misa ya 4 (Kiingereza): Saa 10:00 jioni

Vigangoni na Parokia Teule

  • Mt. Antony wa Padua: Misa 3
  • Mt. Yohane Mbatizaji: Misa 2
  • Vigango vya Basihaya na Boko Magereza: Misa 1 moja kila Jumapili

Sakramenti

  • Ubatizo: Kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi
  • Ekaristi ya Kwanza: Mafundisho hufanyika kwa miezi 6
  • Kipaimara: Mafundisho kwa mwaka mzima
  • Ndoa: Vipindi vya maandalizi kwa miezi 3

Katekesi na Mafundisho ya Imani

  • Mafundisho ya Jumuiya Ndogo
  • Mafunzo ya Kanisa Katoliki kwa waumini wapya
  • Mafungo na semina kwa waumini wote

Maombi na Ibada

  • Kuabudu Ekaristi Takatifu masaa 24
  • Grotto ya Bikira Maria na Mtakatifu Yosefu kwa sala na tafakari