info@parokiaboko.or.tz

(+255) 754 348 651

Karibu

Karibu kwenye tovuti rasmi ya Parokia ya Mwenyeheri Isidori Bakanja – Boko. Sisi ni jumuiya ya waumini wa Kanisa Katoliki ndani ya Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Tunakualika kushiriki nasi katika sala, ibada, na shughuli mbalimbali za kichungaji.