Ratiba ya Misa
Parokiani
- Misa ya 1: Saa 12:00 – 2:00 asubuhi
- Misa ya 2: Saa 2:05 – 4:00 asubuhi
- Misa ya 3: Saa 4:05 – 6:00 asubuhi
- Misa ya 4 (Kiingereza): Saa 10:00 jioni
Vigangoni na Parokia Teule
- Mt. Antony wa Padua: Misa 3
- Mt. Yohane Mbatizaji: Misa 2
- Vigango vya Basihaya na Boko Magereza: Misa 1 moja kila Jumapili
Sakramenti
- Ubatizo: Kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi
- Ekaristi ya Kwanza: Mafundisho hufanyika kwa miezi 6
- Kipaimara: Mafundisho kwa mwaka mzima
- Ndoa: Vipindi vya maandalizi kwa miezi 3
Katekesi na Mafundisho ya Imani
- Mafundisho ya Jumuiya Ndogo
- Mafunzo ya Kanisa Katoliki kwa waumini wapya
- Mafungo na semina kwa waumini wote
Maombi na Ibada
- Kuabudu Ekaristi Takatifu masaa 24
- Grotto ya Bikira Maria na Mtakatifu Yosefu kwa sala na tafakari



